Suruali yangu imekuwa sketi nikiwa maeneo ya Kariakoo

Suruali yangu imekuwa sketi nikiwa maeneo ya Kariakoo

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale

Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi hapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha nashangaa watu wanasema Upindeeee Upindeee, ile kujiangalia nakuta suruali lote lishakuwa sketi kitaaaambo huku uzi nikiwa nautafuna mdomoni. Nimeaibika sana ndugu zanguni

Nasubiri kiza kiingie nijaribu kurejea nyumbani. Niko humu China Plaza, kuna bro kanistili hapa nikae tu kwa kujificha ficha
 
Kwa wasioamini. Nimemuifadhi hapa dukani kwangu huyu kijana.

images (22).jpeg
 
Back
Top Bottom