Suruali yangu imekuwa sketi nikiwa maeneo ya Kariakoo

Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale

Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi hapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha nashangaa watu wanasema Upindeeee Upindeee, ile kujiangalia nakuta suruali lote lishakuwa sketi kitaaaambo huku uzi nikiwa nautafuna mdomoni. Nimeaibika sana ndugu zanguni

Nasubiri kiza kiingie nijaribu kurejea nyumbani. Niko humu China Plaza, kuna bro kanistili hapa nikae tu kwa kujificha ficha
Haa mimi hapo zamani nilinunua kiatu kariakoo nikakivaa Toka kariakoo hadi posta sori ikachomoka wala akili za kurudi niliko nunua ziliniondoka
 
Bwanga la kitambaa mkuu chini 22
Still unavuta uzi wa mguu mmoja bado tu haujashituka na unaanza kuvuta uzi wa mguu wa pili tukubaliane tu hii story ina plot holes kama zile movie za kikorea wanaambiana siri nyuma ya ukuta ili mtu awasikie aende kutoa habari...
 
Ila jamaa tukubali tu ni bigwa wa drama😁
 
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale

Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi huapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha nashangaa watu wanasema Upindeeee Upindeee, ile kujiangalia nakuta suruali lote lishakuwa sketi kitaaaambo huku uzi nikiwa nautafuna mdomoni. Nimeaibika sana ndugu zanguni

Nasubiri kiza kiingie nijaribu kurejea nyumbani. Niko humu China Plaza, kuna bro kanistili hapa nikae tu kwa kujificha ficha
Ungeivua kabisa utembee kichele wajue una sonona tu.
 
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale

Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi hapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha nashangaa watu wanasema Upindeeee Upindeee, ile kujiangalia nakuta suruali lote lishakuwa sketi kitaaaambo huku uzi nikiwa nautafuna mdomoni. Nimeaibika sana ndugu zanguni

Nasubiri kiza kiingie nijaribu kurejea nyumbani. Niko humu China Plaza, kuna bro kanistili hapa nikae tu kwa kujificha ficha
Mwanaume unatafuna uzi wa suruali? Tena kariakoo? Tuwaombee sana wanetu
 
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale

Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi hapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha nashangaa watu wanasema Upindeeee Upindeee, ile kujiangalia nakuta suruali lote lishakuwa sketi kitaaaambo huku uzi nikiwa nautafuna mdomoni. Nimeaibika sana ndugu zanguni

Nasubiri kiza kiingie nijaribu kurejea nyumbani. Niko humu China Plaza, kuna bro kanistili hapa nikae tu kwa kujificha ficha
Suruali chambuu 😂😂😂
 
😁😹😹😁
 
Screenshot_20240531-093154~2.jpg

kwahiyo imekuwa sketi siyo??
sawaa.
 
Ndugu zanguni, mateso haya mpaka lini? Mbona wageni wanatutesa namna hii? Nilinunua suruali yangu kali tu nyeusi kwa ajili ya ruti za hapa na pale

Leo nikiwa Kariakoo nikaona kuna ka uzi kananigasigasi hapa pajani. Nikaamua kukavuta. Cha ajabu nikawa nashangaa hakana mwisho, vile kameisha nashangaa watu wanasema Upindeeee Upindeee, ile kujiangalia nakuta suruali lote lishakuwa sketi kitaaaambo huku uzi nikiwa nautafuna mdomoni. Nimeaibika sana ndugu zanguni

Nasubiri kiza kiingie nijaribu kurejea nyumbani. Niko humu China Plaza, kuna bro kanistili hapa nikae tu kwa kujificha ficha
Sema jamaa story zako🤣🤣
 
Chunga na chupi isije kua Bikini 👙

Kazi ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom