Suruali yangu imekuwa sketi nikiwa maeneo ya Kariakoo

Haa mimi hapo zamani nilinunua kiatu kariakoo nikakivaa Toka kariakoo hadi posta sori ikachomoka wala akili za kurudi niliko nunua ziliniondoka
 
Bwanga la kitambaa mkuu chini 22
Still unavuta uzi wa mguu mmoja bado tu haujashituka na unaanza kuvuta uzi wa mguu wa pili tukubaliane tu hii story ina plot holes kama zile movie za kikorea wanaambiana siri nyuma ya ukuta ili mtu awasikie aende kutoa habari...
 
Ila jamaa tukubali tu ni bigwa wa drama😁
 
Ungeivua kabisa utembee kichele wajue una sonona tu.
 
Mwanaume unatafuna uzi wa suruali? Tena kariakoo? Tuwaombee sana wanetu
 
Suruali chambuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😁😹😹😁
 
Sema jamaa story zako🀣🀣
 
Haa mimi hapo zamani nilinunua kiatu kariakoo nikakivaa Toka kariakoo hadi posta sori ikachomoka wala akili za kurudi niliko nunua ziliniondoka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kariakoo upigaji ni mwingi sana
 
Chunga na chupi isije kua Bikini πŸ‘™

Kazi ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…