Suruali za Kariakoo za jinzi zinazomwagwa Kariakoo

Suruali za Kariakoo za jinzi zinazomwagwa Kariakoo

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,120
Reaction score
7,317
Juzi nimeenda K Koo na katika pitapita zangu sokoni nikakutana na hili. Kuna suruali za jinzi ambazo humwagwa sokoni chini zikiuzwa 10000 tsh, ama 11 , 12000 hivi.

Lakini siku hiyo mida ya jioni zilikua zimepungua Sana Bei mpaka 6000, 7000 TSH. Swali langu liko hapa je hizi suruali kwa Bei yake ya jumla ni shilingi ngapi ikiwa nataka suruali 100 hivi Kariakoo.

Wajuzi mnieleweshe vyema .. mambo yanazidi kua tough ..
 
Juzi nimeenda K Koo na katika pitapita zangu sokoni nikakutana na hili. Kuna suruali za jinzi ambazo humwagwa sokoni chini zikiuzwa 10000 tsh, ama 11 , 12000 hivi. Lakini siku hiyo mida ya jioni zilikua zimepungua Sana Bei mpaka 6000, 7000 TSH. Swali langu liko hapa je hizi suruali kwa Bei yake ya jumla ni shilingi ngapi ikiwa nataka suruali 100 hivi Karia koo. Wajuzi mnieleweshe vyema .. mambo yanazidi kua tough ..
Kariakoo kwa sehemu gani kaka maana hata mimi nataka kujua
 
Suruali ambayo ni elfu 10 au ipo chini ya elfu kumi sio suruali nyingi zinakuwa zimeoza ukivaa mara mbili basi mshukuru mungu. Ni vigumu kutembea nazo kwa zaidi ya km 2

Nishanunua kama mara mbili ivi kariakoo hakika nilijutia kupoteza hela yangu.

Kama unataka kufanya biashara basi usiwe na office kwasababu utakuwa unaharibu soko kwa kuuza suruali mbovu. Fanya kama machinga ivi
 
Hizo suruali kama unaenda fanyia biashara kaa nazo mbali mjomba!

Ila kama wewe ni chinga wale wakipita mtaa huu Leo mpaka mwakan ndio watapita tena chukua mzigo kapigekazi!
Kama hiyo
JPEG_20200617_145036_2248042840721319312.jpg
 
Ndio zile unavaa asubuhi ikiwa inakutosha, ikifika saa4 imekuwa bwanga?
Asee labda hizo so zenyewe coz ni Mara nyingi mi hununua,, sema Zina kasoro moja hupauka kwa mda mfupi.. Hilo nalisikia kwako ast
 
Jiepushe na nguo za.kumwaga mwaga zile zinazooneka mpya kabisa kwa macho nyingi ni fake.

Ukiifua tu Mara mbili kwisha habari yake

Ni heri ukanunu nguo soko la ilala asubuhi na mapema zile kubwa kubwa kwa Bei nafuu ukazipunguze kwa fundi upige hela fasta fasta.

Nina kijana huwa anafanya hii kazi anazitoa ilala anapeleka kwa fundi inakuwa size ya kueleweka gharama Ni buku 3500 Hadi buku 4 ,inatauzwa kuanzia buku 8 Hadi 12 zikiuzwa hata 4 kwa siku Ni pesa nzuri kibongo bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiepushe na nguo za.kumwaga mwaga zile zinazooneka mpya kabisa kwa macho nyingi ni fake

Ukiifua tu Mara mbili kwisha habari yake

Ni heri ukanunu nguo soko la ilala asubuhi na mapema zile kubwa kubwa kwa Bei nafuu ukazipunguze kwa fundi upige hela fasta fasta

Nina kijana huwa anafanya hii kazi anazitoa ilala anapeleka kwa fundi inakuwa size ya kueleweka gharama Ni buku 3500 Hadi buku 4 ,inatauzwa kuanzia buku 8 Hadi 12 zikiuzwa hata 4 kwa siku Ni pesa nzuri kibongo bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kaka
 
Hizo suruali kama unaenda fanyia biashara kaa nazo mbali mjomba!

Ila kama wewe ni chinga wale wakipita mtaa huu Leo mpaka mwakan ndio watapita tena chukua mzigo kapigekazi!
Naunga mkono hii hoja. Dah! Yan acha kabsa hz suruali zmencost vbaya sana af mbaya zaid ckujua km ndo zpo hvyo, muhun nkachukua mzigo wa kutosha nkaweka dukan kwangu na wala haukukaa ukaisha wote then baada ya hapo kilichofata!!!

Kila baada ya masaa kadhaa wateja niliowauzia wanakuja kulalamika.... Yan achen tu. Mpaka leo nkiona nguo yoyote inauzwa imemwagwa chini me nacheka tu[emoji23][emoji23][emoji23] nawaangalia wanunuaji af nasema hawa watajuta!!!!!
 
Back
Top Bottom