Juzi nimeenda K Koo na katika pitapita zangu sokoni nikakutana na hili. Kuna suruali za jinzi ambazo humwagwa sokoni chini zikiuzwa 10000 tsh, ama 11 , 12000 hivi.
Lakini siku hiyo mida ya jioni zilikua zimepungua Sana Bei mpaka 6000, 7000 TSH. Swali langu liko hapa je hizi suruali kwa Bei yake ya jumla ni shilingi ngapi ikiwa nataka suruali 100 hivi Kariakoo.
Wajuzi mnieleweshe vyema .. mambo yanazidi kua tough ..