Kariakoo kwa sehemu gani kaka maana hata mimi nataka kujuaJuzi nimeenda K Koo na katika pitapita zangu sokoni nikakutana na hili. Kuna suruali za jinzi ambazo humwagwa sokoni chini zikiuzwa 10000 tsh, ama 11 , 12000 hivi. Lakini siku hiyo mida ya jioni zilikua zimepungua Sana Bei mpaka 6000, 7000 TSH. Swali langu liko hapa je hizi suruali kwa Bei yake ya jumla ni shilingi ngapi ikiwa nataka suruali 100 hivi Karia koo. Wajuzi mnieleweshe vyema .. mambo yanazidi kua tough ..
Hapo makutano ukitokea karume vuka barabara jengo unalokitana nalo chini njiani upande wa kushotoKariakoo kwa sehemu gani kaka maana hata mimi nataka kujua
Kama hiyoHizo suruali kama unaenda fanyia biashara kaa nazo mbali mjomba!
Ila kama wewe ni chinga wale wakipita mtaa huu Leo mpaka mwakan ndio watapita tena chukua mzigo kapigekazi!
Ahh baba hivyo Tena.. hebu cheki ndo Kama hiyo?Izo zinakuwa zimeoza totally
Asee labda hizo so zenyewe coz ni Mara nyingi mi hununua,, sema Zina kasoro moja hupauka kwa mda mfupi.. Hilo nalisikia kwako astNdio zile unavaa asubuhi ikiwa inakutosha, ikifika saa4 imekuwa bwanga?
Sawa kakaJiepushe na nguo za.kumwaga mwaga zile zinazooneka mpya kabisa kwa macho nyingi ni fake
Ukiifua tu Mara mbili kwisha habari yake
Ni heri ukanunu nguo soko la ilala asubuhi na mapema zile kubwa kubwa kwa Bei nafuu ukazipunguze kwa fundi upige hela fasta fasta
Nina kijana huwa anafanya hii kazi anazitoa ilala anapeleka kwa fundi inakuwa size ya kueleweka gharama Ni buku 3500 Hadi buku 4 ,inatauzwa kuanzia buku 8 Hadi 12 zikiuzwa hata 4 kwa siku Ni pesa nzuri kibongo bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio zile unavaa asubuhi ikiwa inakutosha, ikifika saa4 imekuwa bwanga?
Hapo hamna kitu . Ikiivaa siku 7 mda tofauti utakuta imechanika vibaya hasa kwenye msamba.Ahh baba hivyo Tena.. hebu cheki ndo Kama hiyo? View attachment 1481401
Haina noma aseHapo hamna kitu . Ikiivaa siku 7 mda tofauti utakuta imechanika vibaya hasa kwenye msamba
Naunga mkono hii hoja. Dah! Yan acha kabsa hz suruali zmencost vbaya sana af mbaya zaid ckujua km ndo zpo hvyo, muhun nkachukua mzigo wa kutosha nkaweka dukan kwangu na wala haukukaa ukaisha wote then baada ya hapo kilichofata!!!Hizo suruali kama unaenda fanyia biashara kaa nazo mbali mjomba!
Ila kama wewe ni chinga wale wakipita mtaa huu Leo mpaka mwakan ndio watapita tena chukua mzigo kapigekazi!
Ungewauliza hao waliomwaga chiniWajuzi mnieleweshe vyema .. mambo yanazidi kua tough ..