[SURVEY] Exchange Rates na Fedha za Kigeni

[SURVEY] Exchange Rates na Fedha za Kigeni

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
408
Reaction score
248
Habari Wakuu,

Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila baadae nilielewa.

Wewe huwa unapataga changamoto gani unapotaka kubadilisha fedha za kigeni kwenye Bureau/Bank. Au kulipia kitu online kwa foreign currency?
 
Back
Top Bottom