Survey na Research

Survey na Research

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Haya maneno yananichanganya sana kiswahili chake, naomba wajameni mnisaidie
 
Muuliza swali anazungumzia pale wanapokuwa wanafanya tafiti huwa kuna wakati unaambiwa hii survey inahusu kitu flani,pia wakati huo huo utasikia hii research inahusu kitu flani hasa pale unapojitambulisha kwa mhojiwa dodoso likwa kwa Kiingereza mara nyingi hutumia ama neno research au survey .kwa wale wanaofanya mambo ya social au market research ndio hutumia sana hayo maneno
 
Kwa jibu la haraka haraka ni kuwa Survey is a just one method of doing Research. Maelezo zaidi haya hapa:

Research ni utafiti.
Kwa mfano, unaweza kufanya utafiti ili kujua
  • maskini wengi wanaishi wapi kwenye jiji la DSM? au
  • kuna soko zuri la unga wa muhogo visiwani? au
  • ni asilimia ngapi ya waliomaliza tu shahada zao za fani ya historia wanasaga lami?, nk.

Survey
Ili kupata majibu ya tafiti hizi inabidi ukawahoji sehemu wakilishi (representative sample) ya hizo sehemu husika. Haya mhojiano ndio yanayoitwa Survey.

Hope it helps.
 
ni sawa, lakini kwa stages inaonekana yana stage tofauti, kwamba huenda unaanza survey ndiyo research, ila pia ninataka zaidi kwa kiswahili
 
nasikia kama unasema reserah ni desk work na survey ndio field?
Kwa jibu la haraka haraka ni kuwa Survey is a just one method of doing Research. Maelezo zaidi haya hapa:

Research ni utafiti.
Kwa mfano, unaweza kufanya utafiti ili kujua
  • maskini wengi wanaishi wapi kwenye jiji la DSM? au
  • kuna soko zuri la unga wa muhogo visiwani? au
  • ni asilimia ngapi ya waliomaliza tu shahada zao za fani ya historia wanasaga lami?, nk.

Survey
Ili kupata majibu ya tafiti hizi inabidi ukawahoji sehemu wakilishi (representative sample) ya hizo sehemu husika. Haya mhojiano ndio yanayoitwa Survey.

Hope it helps.
 
survey=ukaguzi (wa jumla). Inabidi ufanye survey kabla ya kufanya utafiti, survey ni maandalizi (mark) ya wapi utafanya utafiti wako.

research=utafiti, uchunguzi wa kina katika eneo ulilokagua (ulilofanya survey)
 
aaiseeeeeee, nahitaji shule zaidi hapa, maana naona kama methodology ni zo=ile zile au kama kuna mtu amezama zaidi..........ila Utingo naoina umevuta kasi kdg
survey=ukaguzi (wa jumla). Inabidi ufanye survey kabla ya kufanya utafiti, survey ni maandalizi (mark) ya wapi utafanya utafiti wako.

research=utafiti, uchunguzi wa kina katika eneo ulilokagua (ulilofanya survey)
 
nasikia kama unasema reserah ni desk work na survey ndio field?

Research inajumlisha haya yafuatayo:
  • Kupanga mkakati (define problem, set hypothesis to be tested, choose test subjects) - DESK WORK

  • Kukusanya takwimu (hoji watu, fanya majaribio kwenye maabara, panda mazao shambani, fanya computer simulations, nk.) Njia moja ya huu ukusanyaji data ndio survey. FIELD WORK au DESK WORK
  • Kukokotoa takwimu (data analysis). Hapa unaweza kutumia nyenzo za aina nyingi (statistics & other operations-research or econometric methods, specialized scientific or socio-science methods, etc.) DESK WORK
  • Interpret results (hapa unafanya inferences au unatafsiri matokeo ya data analysis) DESK WORK
  • Kutoa maoni yako (conclusions) baada ya matokeo. DESK WORK

Survey:
Zaidi ya neno survey kutumika kama njia moja ya kukusanya takwimu wakati wa kufanya research, hili neno pia lina matumizi mengine kama vile Upimaji ardhi (land & geodetic survey)
 
aaiseeeeeee, nahitaji shule zaidi hapa, maana naona kama methodology ni zo=ile zile au kama kuna mtu amezama zaidi..........ila Utingo naoina umevuta kasi kdg

zito tofauti mkuu kama nilivyosema awali...survey ni mapping au kupita unaidentify maeneo unayoona yanafaa kwa shughuli yako. Ukisha map/identify ndiyo unafanya uchunguzi wa kupata majibu ya maswali yako kwa kuhoji au vinginevyo kama ulivyokusudia.

yanaonekana sawa kwa kusema ni sawa na uambie International relation na International Politics...unaweza kudhani ni kitu kile kile lakini content ndiyo inaweka utofauti.

Ijapokuwa watu tunachanganya namna tunavyowakilisha, hatutofautishi.
 
Uko deep, na assessment je? nilikua nafanya assesment na client lakini naona wakawa wana refer kama Baseline Survey

Back
Top Bottom