youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Survival Skills vs High Income Skills
Watu wengi siku hizi wanakimbilia kujifunza high income skills kama AI, digital marketing, coding, copywriting au video editing. Hilo ni jambo zuri.
Lakini kuna kitu muhimu kinasahaulika. Survival skills.
Unaweza kuwa na skill inayoweza kukuingizia mamilioni, lakini ukikosa survival skills unaweza usifikie hatua ya kuyapata.
Survival skills ni uwezo wa kuhimili changamoto, kujifunza haraka, kuwasiliana vizuri, kujiongoza, kutatua matatizo, kujenga mahusiano na kuendelea hata pale mambo yanapokwenda tofauti na ulivyopanga.
Competition ya maisha imeongezeka. Sio anayejua zaidi ndiye anayeshinda kila wakati. Mara nyingi anayeshinda ni yule anayejua kuadapt, kuvumilia na kutafuta njia nyingine pale plani zinapofeli.
Jifunze high income skills ili kuongeza kipato.
Lakini usiache kujenga survival skills, kwa sababu ndizo zitakufikisha mahali ambapo high income skills zako zitaanza kulipa.
Swali: Wewe unadhani ni survival skill gani kila kijana anapaswa kuwa nayo mwaka huu?