TUIYOGOPE SIKU YA HESABUAmeamua kudandia gari limfikishe mjini!
Inaumiza sana..Nadhani Rais Samia akimsikiliza huyu Mama wa Chadema ataelewa alipokosea.
..Ni dharau na kiburi kilichopitiliza na ukosefu wa maadili kufanananisha wanadamu na wanyama wenye mikia.
View: https://www.youtube.com/watch?v=uGLKVxOIc1I
Hili taifa halina dini, hata watu wake wanaishi kama hawana diniTUIYOGOPE SIKU YA HESABU
Qur'an Surah Abasa (80:33-37):"Lakini yatakapokuja makelele makubwa (yaani, sauti ya kiyama), siku hiyo mtu atamkimbia ndugu yake, na mama yake na baba yake, na mke wake na watoto wake. Kila mmoja wao siku hiyo atakuwa na jambo la kumtosha nafsi yake mwenyewe.
"Katika aya hizi, Mwenyezi Mungu anabainisha kuwa siku ya hukumu ni siku ya hofu na mashaka makubwa, kiasi kwamba watu watasahau kabisa uhusiano wao wa kifamilia. Hata wale ambao walikuwa wakiwategemea au kuwapenda sana duniani, kama vile wazazi, watoto, au wenzi, hawatakuwa na uwezo wa kusaidiana.
Kila mmoja atakuwa na jukumu la kujihangaikia mwenyewe na matendo yake.Hivyo, aya hizi zinatufundisha kujiandaa kwa siku hiyo kwa kufanya matendo mema na kumcha Mwenyezi Mungu, kwani hakuna mtu atakayeweza kumsaidia mwenzake siku ya hukumu.
Watu wake wakifa hawafufuliwi wala hawakumiwi? Tofauti na watu wa mataifa mengine?Hili taifa halina dini, hata watu wake wanaishi kama hawana dini
Ni dharau kubwa kwa watanzania.Mamlaka zilitazame hili jambo kwa uzito hali siio nzuri hata kidogo
Ana maanisha serikali. Serikali ni pagan by default. They work for watanzania na si dini fulaniWatu wake wakifa hawafufuliwi wala hawakumiwi? Tofauti na watu wa mataifa mengine?
Madaraka ya kulevyaInaumiza sana
Wanasiasa wawili wa CCM waliorudi kundini siku ya mkutano mkuu kule Dodoma waliambiwa na hayati JPM kwamba wamekatwa mikia...Nadhani Rais Samia akimsikiliza huyu Mama wa Chadema ataelewa alipokosea.
..Ni dharau na kiburi kilichopitiliza na ukosefu wa maadili kufanananisha wanadamu na wanyama wenye mikia.
View: https://www.youtube.com/watch?v=uGLKVxOIc1I
Wabara na wazanzibar ni watanzania wale wale. Kujidharau unajidharau wewe kwa kujiita mtanganyika ili umbague mzenji.Huyu bibi anatudharau sn wabara huwezi kusikia anawapiga vijembe wazanzibar wenzake
Nenda kule kachukue kitambulisho cha mzanzibar au ununue ardhi ama ugombee nafasi yoyote, mimi ni mtanganyika sina udungu na mzanzibar yoyoteWabara na wazanzibar ni watanzania wale wale. Kujidharau unajidharau wewe kwa kujiita mtanganyika ili umbague mzenji.
Mtanganyika anayeficha sura yake na kuishia kumalizia hasira kwenye kurasa za Jamii Forum. Huo utanganyika wako Mungu akipenda ni mpaka 2030.Nenda kule kachukue kitambulisho cha mzanzibar au ununue ardhi ama ugombee nafasi yoyote, mimi ni mtanganyika sina udungu na mzanzibar yoyote
Kwa kifupi sina udungu na mzanzibar yoyoteMtanganyika anayeficha sura yake na kuishia kumalizia hasira kwenye kurasa za Jamii Forum. Huo utanganyika wako Mungu akipenda ni mpaka 2030.
Ubaguzi unaitesa nafsi yako. Wazenji wengi asili yao ni hii mikoa ya Pwani, Lindi, Tanga, Mtwara wapo pia wanyamwezi.Kwa kifupi sina udungu na mzanzibar yoyote