Susan Kiwanga: Hakuna mwanadamu aliyeota mkia

Susan Kiwanga: Hakuna mwanadamu aliyeota mkia

Ubaguzi unaitesa nafsi yako. Wazenji wengi asili yao ni hii mikoa ya Pwani, Lindi, Tanga, Mtwara wapo pia wanyamwezi.

Mzee Karume alikuwa mnyasa kutoka Ruvuma, wazazi walihamia visiwani karne zilizopita.
Mimi siyo mjinga kama wewe, nimekwambia nenda na wewe Zanzibar ukagombee nafasi yoyote ya kisiasa au kununua ardhi kama wao wanavyofanya ama upewe kitambulisho cha mzanzibar, mi siyo mpumbavu kiasi hicho.
 
Mjinga mmoja tu. Mtanganyika na Mzenji ni kitu kimoja, Hiyo dhambi ya ubaguzi inakutafuna na hakuna wa kukusaidia.

Kichekesho ni kwamba wakati wa JPM hatukumsikia mtanganyika hata mmoja. Kitambulisho changu cha NIDA kinanitosha.
 
Aliyesema binadamu wa mikia kama wanyama bora afute kauli maana ni uungwana.
 
Back
Top Bottom