NICK2275 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 3,930 Reaction score 920 Mar 3, 2012 #21 kwa hali ya jeshi ka hapa tz-ataendelea kuzunguka mitaa ya tz bila wasiwasi kabisa
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 70 Mar 3, 2012 #22 siku za magaidi kuishi hapa duniani zinahesabika ndio maana wanatanga tanga.hata huyu ni sawa na mfa maji tu
siku za magaidi kuishi hapa duniani zinahesabika ndio maana wanatanga tanga.hata huyu ni sawa na mfa maji tu
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Mar 6, 2012 #23 kama ana pesa atapeta tu hapa bongo
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Apr 15, 2015 #24 dav22 said: kama ana pesa atapeta tu hapa bongo Click to expand... naomba isiwe hivyo manake hali inatisha kwa sasa
dav22 said: kama ana pesa atapeta tu hapa bongo Click to expand... naomba isiwe hivyo manake hali inatisha kwa sasa