Suspension Kazini

Suspension Kazini

PAMBUA

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
5
Reaction score
2
habar. nimesimamishwa kazi ila kila siku huwa tunapewa pesa ya chakula kazin pamoja na mshahara mwisho wa mwez. je bado nina haki ya kupata malipo niliyokuwanikipata hapo awali kwa sasa siko kazin ni. mwajiriwa wa
 
Haaaaaahaaaaaa!!! sasa ndugu yangu mbona jibu unalo tayari.Lets make t perfect HAUPO KAZINI HIVYO BASI HATA HAYO MADAI HAYAKUHUSU lakini kwa maelezo na ufafanuzi zaidi mwone mkubwa wako wa kazi.Pole ndugu yangu kwa maswaiba yaliyokupata mola akusaidie na urudi kazini mapema iwezekanavyo.
 
Mfanyakazi anayesimamishwa kwa uchunguzi wa makosa ya kinidhamu hupaswa kulipwa mshahara kamili tu
 
kwa mujibu wa mkataba wa ajira,unalipwa kwa masaa ya kazi au kwa siku ulizofanyia kazi?
 
Back
Top Bottom