Suspensions with HESLB

Suspensions with HESLB

AUTOCATALYST

Member
Joined
May 27, 2015
Posts
69
Reaction score
17
Wakuu kuna jamaa ameshatuma form yake ya maombi ya mkopo heslb lakini pale kwenye certification by local gvt leaders waliandika tu majina yao,sahihi,tarehe na muhuri wa ofisi wala hawakukata pale walipotakiwa kukata zile taarifa zisizohusika mfano,(i)mwombaji ni/si mkaz wa mtaa wetu(ii)taarifa zilizotelewa na mwombaji ni/si sahihi(iii)tunapendekeza/hatupendekez maombi haya etc.wao waliacha hivyohivyo na jamaa kaona hilo baada ya kutuma.Hapo vp wakuu inaweza kuwa ni ishu ya msingi?
 
Hakuna ishu asiogope,kama bodi wataona zina matatizo watawajulisha ambao wamekosea ili warekebishe,mwambie asiogope.
 
Back
Top Bottom