Yeeeesssss
ulipotea kimtindo, majukumu au sioYeeeesssss
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari zenu wadau?
Naomba kujua rangi rasmi za suti ambazo zinatumika na watangazaji wa tv..Je? Leo mtangazaji wa itv kavaa suti ya pinki ni sahii??
Yes ndugu....majukumu yaliniweka pemben kidogo....ila nimerudiulipotea kimtindo, majukumu au sio
Ooh nice..pole kwa majukumuYes ndugu....majukumu yaliniweka pemben kidogo....ila nimerudi
Shukrani[emoji120]Ooh nice..pole kwa majukumu
Okay dear!Shukrani[emoji120]
duh kweli,? hivi sikuiona si aibu kubadilisha??Jamaa habari mbili za kwz kaja kavaa pink , ila mara paah kabadirika ghafla
Ile rangi ilikuwa inaumiza kutokana na camera , nadhani waliliona ilo.duh kweli,? hivi sikuiona si aibu kubadilisha??
Ha ha haWatangazaji wengine wanava koti chini wana Ndala, kwa vile wanaonyesha huku juu tu we huwezi kuona miguu ilivyopigwa na vumbi.