Suti zinazo paswa kuvaliwa na mtangazaji wa t.v

Suti zinazo paswa kuvaliwa na mtangazaji wa t.v

2a3ae81c4c886c0618b518cae8452d19.jpg
Yeeeesssss
 
Habari zenu wadau?
Naomba kujua rangi rasmi za suti ambazo zinatumika na watangazaji wa tv..Je? Leo mtangazaji wa itv kavaa suti ya pinki ni sahii??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mungu tusaidie waja wako ubongo wetu unakuhitaji muumba wa mbingu na dunia tushike mkono tusiaibike.
 
Watangazaji wengine wanavaa koti chini wana Ndala, kwa vile wanaonyesha huku juu tu we huwezi kuona miguu ilivyopigwa na vumbi.
 
Huko mbele mwanaume ukivaa pinki unaonekana sio riziki
 
Back
Top Bottom