babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,423
- 3,297
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hizo barabara SUV nyingi nje ya Landcruiser zinapita.Kama hizi za kwetu huku mchangani. Land Cruiser is the ultimate SUV for all terrains and all weather.
Hazijaisha, hapa tu dsm kuna sehem bila suv ya uhakika haufiki hasa msimu wa mvua. Tembea uoneBado hizo barabara SUV nyingi nje ya Landcruiser zinapita.
So far, rugged terrains bongo zimeisha. Labda huko Congo.
Volvo XC90 ina 2500 cc ulaji wa mafuta unakuwaje mdogo?Kwa mimi naona Volvo XC60 na XC90 ni nzuri sana kwa ulaji mdogo wa mafuta
Ila pia ukitaka smoothest drive ni Hyundai Santa Fe au Range Rover kwa safari ndefu raha tupu
Ila ongeza dau
Volvo XC90 ina 2500 cc ulaji wa mafuta unakuwaje mdogo?
Battery yake ikiharibika au kupoteza capacity inakuaje ? Maana bongo gari zinazonunuliwa unakuta imekata km za kutosha lazima battery iwe imepunguza life time yakeNi nusu umeme kwa hiyo mda mwingi kama unaendesha mjini pasipokuwa na uhitaji wa speed ya ziada hapo ni Umeme unatumika na unaokoa mafuta kwa kiasi kikubwa
Battery yake ikiharibika au kupoteza capacity inakuaje ? Maana bongo gari zinazonunuliwa unakuta imekata km za kutosha lazima battery iwe imepunguza life time yake
Kwa bongo hybrid cars tukipata mafundi wanaoziwezea na gharama za kubadilisha betri ikiwa si kubwa naamini itakuwa ni kimbilio la wengiKweli mkuu
Ila kwa bongo bado sana kwa hybrid cars na inahitaji wataalamu na spare zake pia ila tutafika tu na inawezekana zipo
Volvo XC90 toleo la kwanza (2002-2014) lina engine sizes tofauti tofauti. Kuanzia 2.4 hadi 4.4 - 5, 6 na 8 cylinders. Toleo la pili (2014-) lina engine size ya 2.0 pekee - 4 cylinders.Volvo XC90 ina 2500 cc ulaji wa mafuta unakuwaje mdogo?
Mkuu uliagizaga gari gani nipate ka ushauri kidogo kutoka kwako.Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake).
Ni wakati wa kuabdili upepo na kujaribu wazungu haswa ulaya. Wajuvi hebu mtusaidie ni SUV gani nzuri kwa matumizi ya kawaida mazingira ya mjini Tz, kwa kuzingatia vigezo vya ubora wa chombo, gharama nafuu za matunzo na uendeshaji.
Kwa haraka haraka kuna muingereza na discovery, merkel na VW toureg (diesel), BMW, Audi Q5 na wengine...
Maoni tafadhali.