Mbegu Kilewa
Member
- Jul 18, 2012
- 37
- 22
- Thread starter
- #21
Of course SERIKALI NI WATU.tatizolipo kwa serikal mtu akitaka kuanzisha project flani ndio wanaanza kukusanya kodi vizuri ndio maana uwekezaji kwetu ni shida na utaendelea kua shida mpaka tufe kizaz chote maoni yangu mtanzania akianzisha project ifuatiliwe mpaka itakapoanza tengeneza profity ndio waanzishe kodi zao zote
SO huna haja ya kuogopa kama jambo lako ni jema na lenye kuleta matunda kwa taifa...
Nothing impossible under the SUN
NEVER GIVE UP[emoji847][emoji847]