Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

Haki kwa yale maneno aliyozungumza siku ile aaaaah wewe haki gani hiyo mbona unanifedhehesha hapa. Jokate hafai maswala ya uongozi yule hana hiyo haiba ya uongozi.
Ana haibaaaa yaaa sinza??kwampalange??
 
UWT IMETOKA JEHANUM SASA MNAELEKEAAA KANAAANI DADA SUZY KABADILISHE UCHAFU WOTEE WA HUYO MDADA TULIEMTOOAAAA KUNA KIPINDI NILIWAZAAA HIVI HAWA UWT N MISIKULE AMA INASHINDWA KUPJGA KELELEEE HUYU ATUMTAKI....SIMPLE...HATA NDOA HAIJUI KUTWA......ALAFU AISEEE NYIE BADO KIDOGO NIWAPELEKE KWA KIBOKO YA WACHAWI ANIAMBIE ALIEWALOGA

MNGEENDELEA NINGEOMBA MAOMBI KWA KIBOKO YA WACHAWI AWAONBEE ANIAMBIE ALIEWALOGA MKAONGOZWA NA WATU WA HAIBA ILE....

ILA TUKUMBUKE UCHAWI 👆
 
Naona inabidi tufanye mpango wa kumuoa sasa. Ukimuona mwambie anipm tuyajenge 😄
Mipira yote ya Kibaiolojia inayopigwa Golini Kwake na Washambuliaji wa kila aina akiwemo Hayati Striker na Striker mwingine wa Bagamoyo ( ila Kawe Picollo huwa nakuwepo mara moja moja ) yote ilikuwa / ina gonga Besela tu. Hata huyu Striker mpya wa sasa wa Iringa / Njombe, wa enzi zake kutoka Kigoma ( My Radio ) na yule mwingine wa Msasani mtaa wa Kabila mita chache na Bahari ya Hindi nae wote nao kila wakipiga Mashuti yao Tukuka yanaishia tu kugonga Besela.

Sitaki Maswali tafadhali.
 
Wadau hamjambo nyote?

=======

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT).

Kamati hiyo imeketi chini ya Makamu Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, leo Jumapili, Mei 19, 2024 katika kikao chake maalumu, kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Zanzibar na kufanya uteuzi kwa niaba ya halmashauri Kuu ya chama hicho.

Hongera
 
Kila lenye heri kwake
 
Back
Top Bottom