JokaKuu acha utani bana.
- Morgani kafiwa na mke wake jamani, tuweni na huruma. Siwezi kukuombea ufiwe na mke lakini it pains. So, just wish him well in this trying period of his personal life. Iamgine yaani ndo walikuwa wamemaliza mapambano..ndo mwenzake kamtoka....
-Swala kwamba watu hawaonekani kama wenye kipindupindu..nadhani hatuelewi kwamba watu hatulingani especially in Africa. Hivi kweli JokaKuu ukienda Dar ukaenda pale Oysterbay, Masaki, Kempisk etc ukacheki watu wanavyotanua....utajua kwamba less than ten KM in Mwananyamala watu wanakufa kwa kipindupindu? utajua kwamba MANZESE KUNA UWANJA WA FISI? UTAJUA KWAMBA TZ NI ALMOST YA MWISHO KWA UMASKINI WA KUTUPWA DUNIANI? Utajua kwamba almost 15 million Tanzanians live below international poverty line? Ukiambiwa kwamba Chenge ana billions..anasema ni vijisenti..how do you envision our country? au tunaponunua rada au ndege ya raisi kwa millions? wAKATI millions of our people cant afford their meals?
-Tuache utani bwana Hata ukisema Africa ni bara la watu masikini, there are thousands out there..wanatanua na kula good time sana tuu..ulaya, US na hapa home!
Hata wewe unaweza kuwa unaendesha Cadillac wakati unatoka Kazura Mimba ambako hata dispensari haipo..na unaogopa kwenda kwenu likizo...
Mkuu, mengine yaache tuu..ndivyo yalivyo!