Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Aliyeandaa hiyo orodha amekosa data za kutosha coz huwezi kuipa thamani KCMC hadhi kubwa kuliko Muhimbili na wakati ata hyo KCMC haifui dafu kwa Bugando ya mwanza kuanzia madaktari mpaka miundombinuKCMC ni top hospital in Tanzania with a world ranking of 5538, ukizingatia Muhimbili imetupwa kwenye 9363
Sasa hiyo KCMC iko Kilimanjaro, mkoa uliopakana na Kenya upande wa Kusini, walio kwenye ya gatuzi la Taita ambao wana undugu na Wapare sioni kwanini wasichangamkie huduma ya hiyo hospitali.
Japo pia uongozi wa hilo gatuzi wanapaswa wafanye kazi yao ipasavyo kuhakikisha huduma bora inafikia mpaka kwa Wakenya waliopo huko mipakani.
Hiyo KCMC ndio hospitali pekee iliyo kwenye top 30 in Africa, ilhali Kenya zipo nyingi Africa | Ranking Web of Hospitals
NB;Hakuna hospital yeyote hapa East and central Africa inayoweza kuingiza ata pua kwa Muhimbili.....
Imeisha hyo