Suzan Wambui; Mkenya anayepambana kuokoa maisha ya watoto kwa kuwapeleka Tanzania kupata matibabu bora

Aliyeandaa hiyo orodha amekosa data za kutosha coz huwezi kuipa thamani KCMC hadhi kubwa kuliko Muhimbili na wakati ata hyo KCMC haifui dafu kwa Bugando ya mwanza kuanzia madaktari mpaka miundombinu

NB;Hakuna hospital yeyote hapa East and central Africa inayoweza kuingiza ata pua kwa Muhimbili.....
Imeisha hyo
 
Masikini akipata matako hulia pwa pwa pwa
Kitu kidogo wabongo mnasambaza kwani kipi Cha ajabu? Acheni Ushamba watanzania wenzangu
Huu ni ulimbukeni
Ni sawa na umpe jirani yako chakula then umseme
Wakenya Katika hii forum ndio wamekua wakiitukana Tz kwamba tuna HUDUMA Mbovu za Afya na Hospital zetu ni duni huku wakisifia zakwao kwamba ni za kiwango Cha kimataifa ndio maana unaona wanaletewa Proof wajionee wenyewe
 
Nadhani wengi wao Sasa wameujua ukweli, tatizo lao ni "media" zao zilikua zinawadanganya kuwaambia wao wapo juu, hata hili la Magufuli kwamba alifia Kenya ni muendelezo wa vyombo vyao vya habari kuikweza Kenya, wenye akili wameanza kupuuza "media" zao na kutafuta ukweli wao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…