Habari zenu wanajamiiforum! Nilikuwa Dar hivi karibuni nikakutuma na vigari vya mizigo vingi sana, hasa maeneo yetu ya Mbagala. Nami nikapata hamasa ya kumnunulia bi. mkubwa nikitegemea kuwa mizinga itapungua. Nina maswali machache au ushauri kwa wenye kufahamu..
a) Vipi ni bora kwa utendaji wa kazi kati ya Suzuki Carry na Honda Acty
b) Wazo lingine lilikuwa ni kumnunulia taksi; Je ni bora kuliko hivi vigari vya mizigo
c) Kwa wanaelewa naombeni challenges kwenye hii biashara...