Suzuki carry/honda acty vs. Taksi

Suzuki carry/honda acty vs. Taksi

Aluta

Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
69
Reaction score
3
Habari zenu wanajamiiforum! Nilikuwa Dar hivi karibuni nikakutuma na vigari vya mizigo vingi sana, hasa maeneo yetu ya Mbagala. Nami nikapata hamasa ya kumnunulia bi. mkubwa nikitegemea kuwa mizinga itapungua. Nina maswali machache au ushauri kwa wenye kufahamu..
a) Vipi ni bora kwa utendaji wa kazi kati ya Suzuki Carry na Honda Acty
b) Wazo lingine lilikuwa ni kumnunulia taksi; Je ni bora kuliko hivi vigari vya mizigo
c) Kwa wanaelewa naombeni challenges kwenye hii biashara...
 
Suzuki carry is the best maana spare ni nyingi mtaani. Ninazo mbili nauza 8m each, ndo nimezitoa last week bandarini.

Naomba email yako nikutumie. Picha hapa imegoma ku attach file. Zipo tank bovu mbezi beach

Solutions@oric.co.tz

0784/764/715 800989
 
Suzuki carry naona ni best choice,ukinunua honda au mazda kitakusumbua kwenye spare.
Kama vipi mchangie member mwenzetu hapo juu mr akohi.mia
 
Kwani vile viwagon sh ngapi? Mi nafikiri kua nacho,
 
Back
Top Bottom