SUZUKI CARRY(Kirikuu),mjapani halisi

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Katika gari ambazo mjapani alibuni kwa kutuliza kichwa ni hiyo gari..
1.ni kigari imara sana,kulinganisha na gari za level yake.
2.mafuta haili bali inanusa..
3.ni ajira nzuri kwa wenye kipato cha chini,ofisi ya uhakika,imeua soko la hilux.
4.inabeba mzigo mkubwa,kako ngangali sana
5.spea za kumwaga mtaani,
6.msio na ajira,hii ndio ofisi tosha kabisa,karibuni
 
TOyota liteace/Townace truck iko miles away ukilinganisha na hako kadubwasha hapo juu kwa uimara wa injini na bodi, utumiaji wa mafuta, wingi wa spea na ubebaji wa mizigo. By far hizi gari ndiyo zinatumika sana kubebea mizigo kwa sasa. Suzuki Carry ndugu zake ni maguta ya tairi 3.
 
Hizi gari mnazioverload no wonder zinaua sana engine.
 
Hivi ni ww huyu, wakuja kifua mbele ,na kijigari cha watoton,unasema eti mjapani alituliza kichwa ,vipi kuhusu mazda bongo ?? Moja kati ya vigari vya hovyo sana ,vikichoka havina kuhimili ndio maana kitaa watu wanaviuza bei za kutupa fanya utafiti upya
 
Hii gari haiwez zifikia bajaji za Mizigo,bajaji inabeba mpaka tani 1 na zaidi ila haka hakawez mil
 
Upo siriaz kabisa uliyoandika kuhusu hicho kidubwasha?kwa kweli umejidhalilisha binafsi na wanasimba wote kwa ujumla
 
Vinakufa kufa hovyo mnoo.

Japo nina wasiwasi wabongo watakuwa wanakazidisha mzigo,maana kuna moja ilinipita mpaka nikaionea huruma, kwa mzigo ule miaka miwili mingi lazima kife.
 
Mm ninayo yangu injection kbsa fundi alifanya overall kwa makosa Sasa inanibid nibadili injini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…