profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Katika gari ambazo mjapani alibuni kwa kutuliza kichwa ni hiyo gari..
1.ni kigari imara sana,kulinganisha na gari za level yake.
2.mafuta haili bali inanusa..
3.ni ajira nzuri kwa wenye kipato cha chini,ofisi ya uhakika,imeua soko la hilux.
4.inabeba mzigo mkubwa,kako ngangali sana
5.spea za kumwaga mtaani,
6.msio na ajira,hii ndio ofisi tosha kabisa,karibuni