Ya cylinder 4 ina cc 1600 kama sikosei v6 ina cc 1988.Kuna 2.0,ambayo ni 4 cylinder,na nyingine 2.0 ambayo ni V6
Wewe acha uongo.Ya cylinder 4 ina cc 1600 kama sikosei v6 ina cc 1988.
Ndio maana nimesema kama sikosei soma tena.Wewe acha uongo.
Mimi nina 2.0 cylinder 4 ina1950cc, fuel consumption ni 8-10km per litre.
V6 ni cylinder 6, consumption yake ni chini ya 7km per litre.
V6 inakula vizuri sana labda hiyo inatatizo hata gx 100 haili hivyo.Wewe acha uongo.
Mimi nina 2.0 cylinder 4 ina1950cc, fuel consumption ni 8-10km per litre.
V6 ni cylinder 6, consumption yake ni chini ya 7km per litre.
Google escudo V6 uangalie fuel consumption ukilinganisha na na escudo 2.0 cylinder4V6 inakula vizuri sana labda hiyo inatatizo hata gx 100 haili hivyo.