Suzuki escudo 2.0 Vs V6

Suzuki escudo 2.0 Vs V6

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Rejea kichwa cha habari.
Nahitaji kununua suzuki escudo,hizo models hapo juu zimenichanganya,naomba kujuzwa umadhubuti na matumizi ya mafuta baina models tajwa.
 
2.0 ndio V6 labda useme 2.4 Grand vitara.
 
2.0 ndio V6 labda useme 2.4 Grand vitara.
Kuna 2.0,ambayo ni 4 cylinder,na nyingine ni V6 ambayo nayo ni 2.0.Naomba ushauri kwenye unywaji mafuta na umadhubuti,ni ipi bora?
 
Ya cylinder 4 ina cc 1600 kama sikosei v6 ina cc 1988.
Wewe acha uongo.

Mimi nina 2.0 cylinder 4 ina1950cc, fuel consumption ni 8-10km per litre.
V6 ni cylinder 6, consumption yake ni chini ya 7km per litre.
 
Wewe acha uongo.

Mimi nina 2.0 cylinder 4 ina1950cc, fuel consumption ni 8-10km per litre.
V6 ni cylinder 6, consumption yake ni chini ya 7km per litre.
Ndio maana nimesema kama sikosei soma tena.
 
Wewe acha uongo.

Mimi nina 2.0 cylinder 4 ina1950cc, fuel consumption ni 8-10km per litre.
V6 ni cylinder 6, consumption yake ni chini ya 7km per litre.
V6 inakula vizuri sana labda hiyo inatatizo hata gx 100 haili hivyo.
 
Back
Top Bottom