Exhaust light ikiwaka kuna mambo kadhaa huenda yakawa yametokea, ...kuna tatizo kwenye moja ya sensor hasa 02,.....valve ya egr ambayo husaidia ku circulate hewa kwenye exhause na engine haiko sawa, ama kuna vacuum hose iko loose ama inavujisha, vyote kwa pamoja huchangia mafuta kutumika kwa wingi.
Cha muhimu ni kwenda kwa fundi anayejitambua ama mpigie 0746121263 Richard atakufwata ulipo na kufanya uchunguzi, vyema umchangie nauli na utoe malipo akimaliza huduma na ukaridhika