Suzuki Escudo inakula mafuta

Suzuki Escudo inakula mafuta

Lyambasa

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
153
Reaction score
43
Nina Suzuki Escudo cc 1590 inatumia lita moja kwa km 6. Nimeuliza wadau wakasema walau itumie lita moja kwa km 10.

Pia nimefutalia RPM haivuki 5 na taa ya exhaust imewaka.

Naomba ushauri ninapoenda kwa fundi nipate kwa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RPM 5 hua unafika ukitafuta nini mkuu?

dodge
 
Exhaust light ikiwaka kuna mambo kadhaa huenda yakawa yametokea, ...kuna tatizo kwenye moja ya sensor hasa 02,.....valve ya egr ambayo husaidia ku circulate hewa kwenye exhause na engine haiko sawa, ama kuna vacuum hose iko loose ama inavujisha, vyote kwa pamoja huchangia mafuta kutumika kwa wingi.

Cha muhimu ni kwenda kwa fundi anayejitambua ama mpigie 0746121263 Richard atakufwata ulipo na kufanya uchunguzi, vyema umchangie nauli na utoe malipo akimaliza huduma na ukaridhika
 
Back
Top Bottom