Suzuki Escudo

Suzuki Escudo

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,332
Reaction score
31,306
Wakuu natumai mu wazima.

Natafuta fundi mzuri wa Suzuki Escudo, new model hizi wanaita engine kubwa, nitapata wapi?

Nahisi nahitaji fundi mbobevu wa hizi gari.

Ni kama hii kwenye picha
escudo.jpg
escudo.jpg
 
Kaka vp gar ushapata ulokuwa ukitafta ya aina hiyo maana ni nayo ..Kama una uhitaji nifate inbox
Nilikuwa natafuta fundi wa hizo Gari mkuu sio Gari.

Hata mimi ninayo ya hivyo.
 
Back
Top Bottom