Suzuki Every Wagon

Suzuki Every Wagon

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Kipato changu cha hali ya chini, bodaboda naogopa sana, nataka ninunue suzuki every wagon, used, kwa ajili ya kwenda kibaruani na kurudi nyumbani,home ni chanika na kibaruani ni kkoo.

Naomba ushauri kuhusu, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea, uimara wa gari yenyewe nk, nafikiri ni 600-700cc.

1597063165266.png
 
Kama unaweza kupanda boda boda kutoka Chanika mpaka Kariakoo. Chukua Brevis Ai
 
Kama unaweza kupanda boda boda kutoka Chanika mpaka Kariakoo. Chukua Brevis Ai
unafuu wake kwa mtu wa kipato cha kawaida ni upi mkuu,spea,mafuta nk maana usinunue gari fulani kufuata mkumbo,mwingine atakwambia chukua crown,,nk
 
Back
Top Bottom