profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Kipato changu cha hali ya chini, bodaboda naogopa sana, nataka ninunue suzuki every wagon, used, kwa ajili ya kwenda kibaruani na kurudi nyumbani,home ni chanika na kibaruani ni kkoo.
Naomba ushauri kuhusu, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea, uimara wa gari yenyewe nk, nafikiri ni 600-700cc.
Naomba ushauri kuhusu, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea, uimara wa gari yenyewe nk, nafikiri ni 600-700cc.