establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Wakuu nimeichek hii nimeona Kama itanifaa kwa ninapoishi kuna makorongo Sana. Vipi Spea zake?
**Correction: Speak= Spea
**Correction: Speak= Spea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua zaidi Mkuu. Mimi mtu wa shamba. Nilitaka kuchukua Van lakini changamoto ikawa Bibie hataki kuonekana Kama Mama Lishe a.k.a SHISHI!Gari poa sana hzo ila zile fupi zake ndio nzuri zaidi kwa mazingira hayo
Mkeo nae ana nyodo , van ndo ya mama lishe ?Fafanua zaidi Mkuu. Mimi mtu wa shamba. Nilitaka kuchukua Van lakini changamoto ikawa Bibie hataki kuonekana Kama Mama Lishe!
Asante Mkuu. Wese kwangu sio ishu maana hakuna Gari inayowekwa ujiTuanze na history kidogo. Hiyo gari (Grand Escudo) ni kichipukizi cha Suzuki Escudo hizi za kawaida.
Suzuki Escudo ndio hiyo hiyo Suzuki Vitara, kwa kuongeza msisitizo zaidi...
Kama ni mtu wa shamba chukua Suzuki Escudo ya kuanzia mwaka 2001 mpaka 2005, 4 Cylinder,cc1990.Fafanua zaidi Mkuu. Mimi mtu wa shamba. Nilitaka kuchukua Van lakini changamoto ikawa Bibie hataki kuonekana Kama Mama Lishe!
Bei imesimama mkuu. Nimechek CIF inasimamia 7,500USD na hapa TRA 9m sijajua port chargesKama ni mtu wa shamba chukua Suzuki Escudo ya kuanzia mwaka 2001 mpaka 2005, 4 Cylinder,cc1990.
Ukipata 5 speed Manual gearbox utaenjoy zaidi. Kazi kwako
Maumivu. Nenda katafute za kulenga kwa madalali za kuagiza huziweziBei imesimama mkuu. Nimechek CIF inasimamia 7,500USD na hapa TRA 9m sijajua port charges
Usiwe na haraka nazo. Check mdogo mdogo unaweza kubahatisha be forward kwa bei ya nzuri tu.Bei imesimama mkuu. Nimechek CIF inasimamia 7,500USD na hapa TRA 9m sijajua port charges
Moja ya SUV nafuu ukiondoa XtrailWakuu nimeichek hii nimeona Kama itanifaa kwa ninapoishi kuna makorongo Sana. Vipi Spea zake?...
Poa, be forward Wana vi-offer flan amazing!Usiwe na haraka nazo. Check mdogo mdogo unaweza kubahatisha be forward kwa bei ya nzuri tu.
sure MjombaUkishaona unawaza waza sana kuhusu mafuta, nunua tu IST.
Hii gari haina tofauti na guta,yaani unakuwa kama unaendesha mkokoteni,siti zimekakamaa kama mabenchiHii ndo konde boy for everybodyView attachment 1913072View attachment 1913071View attachment 1913073View attachment 1913074