Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

Nishaitumia hiyo,halafu vitasa vyake ni vibovu sana,kiufupi ni local sana hiyo gari hata AC yake ni afadhali ya feni
Ila KWA Kazi Kazi ni gari poa Sana mkuu unahimili rough road sana
 
We ni mwanaume kweli?.. yaani unataka gari ikupapase papase ili iweje?..mwanaume mateso bana, kamata chuma hiyo ipe kazi uone, sio vigari vya kina mama
We sema huna option tu,wengi wenu uwezo ndio umeishia hapo, utasikia oooh hii gari ni ngumu sana ni roho ya paka,wakati vinawahenyesha kweli kweli,wenzenu bongo zinasoma 2021 nyie bado mko 1995
 
Mkuu mm ninayo SUZUKI GRAND ESCUDO Ni balaa lingine naendaga shamba Mang'ola rough road inakata vumbi balaa
Hizi vtu KWA mtu ambae anayo aitunze Sana tena ikiwa ya 2.0 v6 ndo hutojuta kama wewe mpenda nguvu kwenye gari
 
Hizi vtu KWA mtu ambae anayo aitunze Sana tena ikiwa ya 2.0 v6 ndo hutojuta kama wewe mpenda nguvu kwenye gari
Sure Mkuu. Nimelifunga Carrier nikifika shamba mm Ni kubeba magunia ya vitunguu na nakunja siti
 
Sure Mkuu. Nimelifunga Carrier niiifika shamba mm Ni kubeba magunia ya vitunguu na nakunja siti
Hahahahaah aisee naskia raha hii gari kama naiiona ilivokuwa imetulia barabaran KWA mzgo wa vtunguu
 
Sure Mkuu. Nimelifunga Carrier nikifika shamba mm Ni kubeba magunia ya vitunguu na nakunja siti
Kwenye tope heavy au la mfinyanzi je 4wd ina nguvu sana ikipatiwa kiatu cha all-terrain/mud-terrain inatoboa kama full SUV's?
 
Kwenye tope heavy au la mfinyanzi je 4wd ina nguvu sana ikipatiwa kiatu cha all-terrain/mud-terrain inatoboa kama full SUV's?
Naam, All-Terrain pia inainyanyua juu kiasi, pia inaifanya ya kishua zaidi. Ndani ina nafasi kama LAND CRUISER
 
We ni mwanaume kweli?.. yaani unataka gari ikupapase papase ili iweje?..mwanaume mateso bana, kamata chuma hiyo ipe kazi uone, sio vigari vya kina mama
Jamaa kakosa tu Khanga na bikini! Maana anachamba balaa.
 
Back
Top Bottom