Suzuki Jimmy manual gear 5 ya 6 reverse iko sokoni

usikariri aina ya tangazo rafiki
kila tangazo linalengo lake
yani mnunuaji hayuko hapa kupiga porojo
anachukua number anapiga
huyo ndiyo mteja
we ni mpendwa mwandikaji
karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na wewe mwenye porojo ni nani? Bei upigiwe simu uliweka tangazo LA biashara la nini? Dalali wahed!
 
Yani ningekuwa ni Mod wa hili jukwaa Post kama hii naifutilia mbali maana imekaa kitapel tapel sana.
nimempigia simu kasema bei hii, baadae nikabadili line nakupiga tena nikaambiwa bei nyingine.
This is nonesense.....
Tangazo halina picha wala specification za kutosha kama cc? mileage? rangi? location ya gari?

Hahaaa Baada ya muda utasikia watu washapigwa Ela hii ndio Bongo bhana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…