Suzuki Jimmy manual gear 5 ya 6 reverse iko sokoni

Suzuki Jimmy manual gear 5 ya 6 reverse iko sokoni

Picha pls
this one
IMG-20190310-WA0007-scale-1.jpeg
IMG-20190310-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ningekuwa ni Mod wa hili jukwaa Post kama hii naifutilia mbali maana imekaa kitapel tapel sana.
nimempigia simu kasema bei hii, baadae nikabadili line nakupiga tena nikaambiwa bei nyingine.
This is nonesense.....
Tangazo halina picha wala specification za kutosha kama cc? mileage? rangi? location ya gari?

Hahaaa Baada ya muda utasikia watu washapigwa Ela hii ndio Bongo bhana....
 
Back
Top Bottom