Suzuki Jimney Wide

Suzuki Jimney Wide

biznes_dealz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
392
Reaction score
153
Wakuu poleni kwa usumbufu... Naomba kufahamishwa juu ya hii gari yenye cc 650... Nimeipenda kimuonekano ipo juu juu sijajua uimara wake na je kwa gari yenye cc ndogo kama hiyo naweza kwenda nayo mkoa bila wasiwasi?
 
Weka picha na sisi wa Nanjilinji tuijue
Ni aina hiyo hapo
2013_suzuki_jimny_Used_1.jpeg
 
Inakwenda bila shida. Mbona zinasafilishwa kwenda mpka Congo, ZAMBIA [emoji1268] Malawi [emoji1156]
 
Mkuu, naomba nikusahihishe. Suzuki Jimny na Suzuki Jimny Wide ni magari mawili 'tofauti'...
Yenye 650cc ni Suzuki Jimny wakati Jimny Wide ina 1300cc.
Yep. Inaweza kwenda mkoa wowote. Why not?
 
Na kwa uimara mkuu, je uimara wake ukoje?
Mkuu, naomba nikusahihishe. Suzuki Jimny na Suzuki Jimny Wide ni magari mawili 'tofauti'...
Yenye 650cc ni Suzuki Jimny wakati Jimny Wide ina 1300cc.
Yep. Inaweza kwenda mkoa wowote. Why not?
 
Mkuu, naomba nikusahihishe. Suzuki Jimny na Suzuki Jimny Wide ni magari mawili 'tofauti'...
Yenye 650cc ni Suzuki Jimny wakati Jimny Wide ina 1300cc.
Yep. Inaweza kwenda mkoa wowote. Why not?

Ni cc 1290...
Ni gari nzuri sn na ngumu....inahimili mazingira yetu ya kitanzania...
Ulaji wa mafuta ni mzurii...ina nusa...ila haina space kabisa....
Spare zake znasumbua kidogo kupatikana ila zipo madukani...ukifunga spare OG unasahau
 
N

Nataka kununua hii gari mkuu,Ina km 1150000 ni kwa mizunguko ya mjini tu.Bado kuna gari hapo kwa hizo km
 
Ni cc 1290...
Ni gari nzuri sn na ngumu....inahimili mazingira yetu ya kitanzania...
Ulaji wa mafuta ni mzurii...ina nusa...ila haina space kabisa....
Spare zake znasumbua kidogo kupatikana ila zipo madukani...ukifunga spare OG unasahau
Nataka kununua hii gari mkuu,Ina km 1150000 ni kwa mizunguko ya mjini tu.Bado kuna gari hapo kwa hizo km?
 
Wakuu poleni kwa usumbufu... Naomba kufahamishwa juu ya hii gari yenye cc 650... Nimeipenda kimuonekano ipo juu juu sijajua uimara wake na je kwa gari yenye cc ndogo kama hiyo naweza kwenda nayo mkoa bila wasiwasi?
Ulifanikiwa kununua hii gari kaka?
 
Back
Top Bottom