MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,514
Mkuu hii gari ipo chini sana, halafu ina nafasi ndogo kwandani ila kama hivi havikupi shida poa chukua mchuma huo, ila pitia uzi mmoja ambao unaelezea tahadhari za kuchukua unaponunua gari kwa mtu bongo,Ndugu zangu wajuzi wa magari nataka kununua Suzuki Swift new model mkononi kwa mtu. Naomba kufahamu ni matatizo gani gari hii huwa inakuwa nayo ili nijue kabisa najiandaaje kisaikolojia.
View attachment 800727
Huu uzi umekosa wahusika kweli??