Suzuki Swift new Model

Suzuki Swift new Model

MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,138
Reaction score
1,514
Ndugu zangu wajuzi wa magari nataka kununua Suzuki Swift new model mkononi kwa mtu. Naomba kufahamu ni matatizo gani gari hii huwa inakuwa nayo ili nijue kabisa najiandaaje kisaikolojia.

images.jpeg
 
Huwa sina mahusiano mazuri na hizi threads zinazo husu Magari...[emoji29] [emoji29]
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
 
Ndugu zangu wajuzi wa magari nataka kununua Suzuki Swift new model mkononi kwa mtu. Naomba kufahamu ni matatizo gani gari hii huwa inakuwa nayo ili nijue kabisa najiandaaje kisaikolojia.

View attachment 800727
Mkuu hii gari ipo chini sana, halafu ina nafasi ndogo kwandani ila kama hivi havikupi shida poa chukua mchuma huo, ila pitia uzi mmoja ambao unaelezea tahadhari za kuchukua unaponunua gari kwa mtu bongo,
 
Kwani hiyo ni new model mkuu au huku bongo ndio new model?hizi gari nakumbuka zilianza kuziona kabla hata IST hazijakuwa famous Tanzania na kabla hata vile Vi Suzuki swift vidogo havijaanza,kilichonishangaza vile vidogo vikawa famous sana na hii nyingine ikapotea,sijajua hasa ina shida gani lakini kwa size na ukubwa hazina tofauti na IST au VITZ...
 
Back
Top Bottom