Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Hivi kati ya hizi baby walker mbili ipi ipo fresh kuliko mwenzake. Kwenye bei naona kama zinakaribiana ila SX4 sijaziona sana hapa bongo.
Ila nimechunguza upya, inaonekana magari mengi ya suzuki ni mapya kidogo kupita ist.
Kama kuna anaetumia suzuki sx4 ningeomba ushauri wake.
Ila nimechunguza upya, inaonekana magari mengi ya suzuki ni mapya kidogo kupita ist.
Kama kuna anaetumia suzuki sx4 ningeomba ushauri wake.