Suzuki SX4 vs TOYOTA IST

Suzuki SX4 vs TOYOTA IST

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Hivi kati ya hizi baby walker mbili ipi ipo fresh kuliko mwenzake. Kwenye bei naona kama zinakaribiana ila SX4 sijaziona sana hapa bongo.

Ila nimechunguza upya, inaonekana magari mengi ya suzuki ni mapya kidogo kupita ist.

Kama kuna anaetumia suzuki sx4 ningeomba ushauri wake.

1076395

1076398
 
SX4 ni nzuri, ziko capable offroad maana ni 4WD. Lakini sidhani kama utakinunua kwa lengo hilo. Upande wa spare parts, suzuki kawaida huwa ni changamoto kidogo kulinganisha na Toyota. Binafsi nashauri IST. Nasikia zipo zenye AWD kama ndio lengo lako, japo sijawahi kuziona. IST spare parts zinapatikana, vile zinaingiliana na gari ndogo ndogo nyingi za Toyota. Body party kama taa etc sio cheap but zinapatikana.
 
Yah ntafikiria zaidi pia.. Asante
 
Back
Top Bottom