Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Yah ntafikiria zaidi pia.. AsanteSX4 ni nzuri, ziko capable offroad maana ni 4WD. Lakini sidhani kama utakinunua kwa lengo hilo. Upande wa spare parts, suzuki kawaida huwa ni changamoto kidogo kulinganisha na Toyota. Binafsi nashauri IST. Nasikia zipo zenye AWD kama ndio lengo lako, japo sijawahi kuziona. IST spare parts zinapatikana, vile zinaingiliana na gari ndogo ndogo nyingi za Toyota. Body party kama taa etc sio cheap but zinapatikana.
Nimeziona zinaonekana zipo vizur ila naona kama bei zimechangamka kidogoNunua toyota auris hutajutia japo bei imechangamka