R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Mar 21, 2023 #1 Habari, Maelezo ya gari yapo kwenye picha za gari na kadi yake. Bei ni 5.6 million. Gari ipo Arusha. Mawasiliano 0656388678
Habari, Maelezo ya gari yapo kwenye picha za gari na kadi yake. Bei ni 5.6 million. Gari ipo Arusha. Mawasiliano 0656388678
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Mar 21, 2023 #2 Sawa Chuma Mtupu Hiyo
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 21, 2023 #3 Ukisikia ndinga, ndiyo hii sasa! Ushauri; bei ipunguzwe walau mpaka mil.3.5 hivi, ili gari iuzike mapema.
Ukisikia ndinga, ndiyo hii sasa! Ushauri; bei ipunguzwe walau mpaka mil.3.5 hivi, ili gari iuzike mapema.
Top for B JF-Expert Member Joined Mar 4, 2023 Posts 803 Reaction score 2,796 Mar 21, 2023 #4 Mtafteni padri mmuuzie😂
Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 704 Reaction score 1,331 Mar 21, 2023 #5 Gari haina hii iuzwe Arusha?? Si ndiy homa hizo
Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 704 Reaction score 1,331 Mar 21, 2023 #6 Top for B said: Mtafteni padri mmuuzie😂 Click to expand... Kwa nn mkuu
Top for B JF-Expert Member Joined Mar 4, 2023 Posts 803 Reaction score 2,796 Mar 21, 2023 #7 Annie X6 said: Kwa nn mkuu Click to expand... Zinaendeshwa sana na mapadri hizi gari huko kaskazini
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Apr 11, 2023 Thread starter #8 Tate Mkuu said: Ukisikia ndinga, ndiyo hii sasa! Ushauri; bei ipunguzwe walau mpaka mil.3.5 hivi, ili gari iuzike mapema. Click to expand... Nimepunguza mpaka 4.9 million. Mwenye Nia anipigie simu.
Tate Mkuu said: Ukisikia ndinga, ndiyo hii sasa! Ushauri; bei ipunguzwe walau mpaka mil.3.5 hivi, ili gari iuzike mapema. Click to expand... Nimepunguza mpaka 4.9 million. Mwenye Nia anipigie simu.