Suzuki Vitara: Muda wa kwenda Full Electric sasa!

Suzuki Vitara: Muda wa kwenda Full Electric sasa!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara.
Suzuki e Vitara reveal-2.jpg

Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh itakayokua na range ya 400 km.
Suzuki e Vitara 2024-5.jpg

Specifications nyingine hawajatupatia ila tutegemee kuiona 2025.
Suzuki e Vitara reveal.jpg
 
Warete waretee, naona kama gari yangu ya kwanza itakuwa ya teknolojia hizi maana kila mtengenezaji analeta vitu amazing kila kukicha
 
Hakuna namna soko halina mazoea vikampuni vya juzi tu hapa BYD vinakimbiza kwenye EV Japan akileta mazoea yanamkuta yanayo mkuta mjerumani.
 
Mjapani atapigwa kama alivyopigwa kwenye pkpk. sasa hivyo pkpk Honda,Suzuki Yamaha hazionekani kabisa
 
Back
Top Bottom