Labda soko la Afrika. Sidhani kama Ulaya na Marekani kuna King Lion.Mjapani atapigwa kama alivyopigwa kwenye pkpk. sasa hivyo pkpk Honda,Suzuki Yamaha hazionekani kabisa
Ndiyo Ukweli WenyeweMoja ya gari ngumu kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia
Nasema uongo ndugu zangu?