S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Mar 14, 2025 #1 Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini Attachments Screenshot_20250314-152222.jpg 158 KB · Views: 1 Screenshot_20250314-152222.jpg 158 KB · Views: 1
Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Mar 14, 2025 #2 Nitarudi KAZI ni kipimo cha utu
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Mar 14, 2025 #3 Mad Max, Mshana Jr, Extrovert mpeni ushauri jamaa
S Sirlama Senior Member Joined Oct 6, 2024 Posts 176 Reaction score 352 Mar 14, 2025 #4 Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa.
Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa.
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Mar 14, 2025 Thread starter #5 Sirlama said: Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa. Click to expand... Unamaanisha matumizi yake ni ghali sana?Kwa maana vifaa vyake ni bei juu sana?
Sirlama said: Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa. Click to expand... Unamaanisha matumizi yake ni ghali sana?Kwa maana vifaa vyake ni bei juu sana?