SUZUKI

SUZUKI

Sappire

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
3,447
Reaction score
8,896
Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
 

Attachments

  • Screenshot_20250314-152222.jpg
    Screenshot_20250314-152222.jpg
    158 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250314-152222.jpg
    Screenshot_20250314-152222.jpg
    158 KB · Views: 1
Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa.
 
Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa.
Unamaanisha matumizi yake ni ghali sana?Kwa maana vifaa vyake ni bei juu sana?
 
Back
Top Bottom