Suzzy wa E-News EATV, kipaji hutakiwi kulazimisha

Suzzy wa E-News EATV, kipaji hutakiwi kulazimisha

Umeongea kweli mkuu, Suzy ni mzuri ila kama vile hajiamini, ukisikiliza sauti yake inakera anaibana mpaka basi, ukija kwenye mavazi ndio balaa, juzi alivaa kaptula mapaja yote wazi, ikaja tena amevaa kipensi cha jins halavu chini kimechanwa chanwa kama vile viguo vya saida anavyochezea muziki wake, mapaja yote wazi juu kiblauzi kimebana nyonyo..aiseeee yale mavazi si ya kuvaa kazini sijui why wanaruhusiwa?!
Tunatofautiana wakuu
wengine ndo tunapenda awe vilee
 
Yupo vizuri na anajitahidi
ila aache kuongea haraka haraka maana kwa sauti yake ilivyo na anavyotangaza haraka inakuwa kama kelele kwa msikilizaji
 
Back
Top Bottom