Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Amdai aliyemleta , Simba haihusikiPoleni kwa msiba,
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Sven Vandebrock ameishtaki klabu ya simba fifa kwakuwa klabu hiyo imeshindwa kumlipa kiasi cha Tshs 101 milioni kama hela za mishahara na posho.
Mawakili tayari washaandaa mashtaka muda wowote mashtaka yatafikishwa makao makuu ya fifa pale jijini Zurich, Uswisi.
My take
MO na Simba acheni janja janja, njia ya muongo siku zote ni fupi.
View attachment 1732656
Sasa Mbona Hamjalipa??Tafuteni hoja nyingine, hiyo siyo pesa ya Simba kushindwa kuilipa
Yeye ndiye alivunja mkataba,alipe yeye.Sasa Mbona Hamjalipa??
Hahahaha, aseehuyu dogo nikikumbuka kizaazaaa alichozua hadi magori kugombana na Efm wakampa masaa kuomba radhi la sivyo atashatkiwa sina hamu naye
Dogo alizusha kwamba wachezaji wa simba wamegoma hawajalipwa mishahara miezi miwili magori akachanganya madesa akadhani ni mwajiriwa wa efm kumbe efm walisoma kama tetesi chanzo ni yeye,ilikuwa timbwili zito mwisho wa siku dogo akaomba radhi sababu simba walitaka kumshtaki ili akathibitishe tuhuma zake
Naona siku hizi clouds wamemchukua wanapendezana naye maana huwa ananichekeshaga sana vi tetesii vyake
kanikumbusha ile ya shaffih dauda kutangaza simba kafungwa 2-0 na green warriors mechi ambayo hata haikuchezwa
siku ya mwisho kaomba msamaha wakati walitangaza hadi kwenye sports xtra yaani hao ndiyo manguli yanajiita eti senior sports journalists
Hela ya mboga hiyoMtasikia Haji Manara akiishtumu Yanga kuwa ndio wamemshawishi na kumwandalia mawakili ili Simba ishtakiwe